Kapsabet High School Mourns Mr. Kennedy Mwanja

There is not so much that can be done or said to reverse the events. Our hearts are so heavy but we belief we shall one day meet again.

We have lost a dad, a coleague, a friend and above all the most jovial guy anybody could wish to be around.

Kennedy Mwanja lost his life in a tragic road accident when he was taking his Geography students to an excursion in Baringo County.

As a school, we have lost. To Mr. Mwanja’s family we are with you in prayer.

Kennedy Mwanja Kivesh

KIFO WEWE, CHUNGA!

Kifo, wewe kifo, ukawa mjinga,

Mkufuu shupavu na mwanafuu rais ukawalenga,

Wametuacha bila tarajio wala kupanga,

Kifo wewe msumbufu, ningekuona…!

 

Wanuna na wavyele wanahangaika,

Masomo na jamaa tunalalamika,

Kifo, wewe kifo, kimaadili umepotoka,

Kifo wewe msumbufu, ningekuona…!

 

Lakini haidhuru, salama mlale na maulana,

Mioyo yenu iwe huru, akiridhia Mola tutakutana,

Nyinyi ni wenye nuru, lakini kifo pumbafu sana,

Kifo wewe msumbufu, ningekuona…!

 

Abednego Victor

3 Beta

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *